Manchester City Shows Early Signs of Attacking Style Under Enzo Maresca
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Manchester City Shows Early Signs of Attacking Style Un… · imesasishwa 4 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Antoine Semenyo, ameisifu staili ya kocha mpya, Enzo Maresca kama "muziki masikioni mwangu" baada ya kuonesha dalili za awali za nafasi yake chini ya Muitaliano huyo.
- City walipoteza kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Inter Milan katika mchezo wa kwanza wa Maresca akiwa kocha huko Hong Kong, lakini timu hiyo ilionesha staili ya kushambulia ambayo bosi mpya atatumia baada ya kuchukua.