Mada zilizoorodheshwa
MICHEZO 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Makgalwa's Promise to Fans of Simba SC

Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Makgalwa's Promise to Fans of Simba SC · imesasishwa 5 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo

Muhtasari

  • Nyota huyo raia wa Afrika Kusini amebainisha kuwa Rais wa Heshima wa Simba, Mohammed Dewji (Mo Dewji), pamoja na Kocha Mkuu Steve Barker, walicheza nafasi kubwa katika kufanikisha usajili wake kuelekea msimu wa 2026/27.
  • KIUNGO mpya wa Simba SC, Keletso Makgalwa, ameweka wazi kuwa uamuzi wake wa kujiunga na miamba hiyo ya Msimbazi haukuwa wa bahati mbaya, bali ulitokana na mradi kabambe na imani kubwa aliyoonyeshwa na viongozi wa klabu.
  • Makgalwa alieleza kuwa tangu kuanza kwa mazungumzo, uongozi wa Simba ulimfanya ajihisi kuwa sehemu ya msingi katika mipango ya timu.
  • Nitafuata maelekezo ya mwalimu na kupambana kwenye kila mechi ili kuisaidia Simba kufikia malengo yake,” alisema Makgalwa.
  • Akizungumza na mashabiki wa Wekundu wa Msimbazi, Makgalwa aliahidi kujitoa kwa jasho na damu kila atakapopata nafasi ya kuvaa jezi ya Simba, huku akitambua ukubwa wa matarajio waliyonayo na kuahidi kuwapa furaha msimu.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Makgalwa's Promise to Fans of Simba SC

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.