Mahakama ya Rufani imekataa ombi la Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, la kuitaka serikali imlipe fidia kwa madai kuwa maombi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) yalichelewesha kwa makusudi mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili na kumfanya aendelee kushikiliwa mahabusu kwa muda mr…
Katika uamuzi huo, Mahakama pia ilikataa ombi la Lissu la kulipwa fidia kwa madai ya kukaa mahabusu kwa siku 139 kutokana na kusimamishwa kwa mwenendo wa kesi wakati maombi hayo yalipokuwa yakisikilizwa.