Mahakama Kuu Yabatilisha Hukumu ya Kifungo cha Miaka 30 na Kuongeza Kifungo cha Maisha kwa Acram
Habari mpya za law justice Tanzania · maelezo ya Mahakama Kuu Yabatilisha Hukumu ya Kifungo cha Miaka 30… · imesasishwa 8 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Jaji Itemba alikubaliana na hoja hiyo na kusema kwa kuwa Mahakama ya Wilaya ilikuwa imejiridhisha kuwa mwathirika alikuwa na umri wa miaka 10, ila ilikosea kumhukumu kifungo cha miaka 30, hivyo mahakama ikabatilisha.