Madiwani wa Kibaha Kupongeza Jitihada za Elimu ya Kilimo
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Madiwani wa Kibaha Kupongeza Jitihada za Elimu ya Kilimo · imesasishwa 8 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Madiwani Manispaa ya Kibaha wamepata fursa ya kujifunza shughuli na mbinu mbalimbali za kilimo hususan teknolojia na njia za kisasa zinazolenga kuongeza tija katika kilimo.
- Wamepata elimu hiyo walipotembelea Banda la Manispaa ya Kibaha lililopo katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Manispaa ya Morogoro, ikiwa ni sehemu ya Maonesho ya Nane Nane Kanda ya MasharikiMadiwani hao.