Launch of Water Filtration Plant Project at Igombe-Kabangaja Costing 585 Million
Habari mpya za water sanitation Tanzania · maelezo ya Launch of Water Filtration Plant Project at Igombe-Kaba… · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Mhandisi Said alisema kuwa, mradi huo wa upanuzi wa mtambo wa kuchuja maji katka chanzo cha Igombe-Kabangaja, umetekelezwa kwa ushirikiano kati ya MWAUWASA NA VEI kwa sh. milioni 585, ulianza kutekelezwa Oktoba Mosi.
- Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2026, Wazo Mwang’onda, akikata utepe kuzindua mradi wa ujenzi wa mtambo wa kuchuja maji wa Igombe-Kabangaja, wilayani Ilemela, leo.
- NA BALTAZAR MASHAKA, ILEMELA MWENGE Uhuru umezindua Mradi wa ujenzi wa mtambo wa kuchuja maji katika chanzo cha Igombe-Kabangaja, Wilaya ya Ilemela, uliogharimu sh. milioni 585.
- Mwenge wa Uhuru ukiwa eneo la mradi wa kuchuja maji wa Igombe-Kabangaja, leo.