Vodacom Tanzania Plc leo imezindua rasmi kampeni yake ya 'Zaidi ya Mtandao' (More Than a Network), hatua inayodhihirisha dhamira ya muda mrefu ya kampuni ya kutoa zaidi ya huduma za mawasiliano kwa kuwezesha fursa kwa watu, biashara na jamii mbalimbali nchini Tanzania.
Vodacom Tanzania Plc imezindua rasmi kampeni mpya ya “Zaidi ya Mtandao” (More Than a Network), ikisisitiza dhamira yake ya kwenda mbali zaidi ya kutoa huduma za mawasiliano kwa kuwezesha fursa za maendeleo kwa watu binafsi, biashara na jamii nchini.