President Samia Suluhu Hassan has launched the Vision 2050 implementation instruments and a special public-private dialogue in Dar es Salaam and said that the private sector will play a central role in implementing Tanzania Development Vision 2050.
Kuhusu uzinduzi wa nyenzo za utekelezaji wa Dira 2050 amesema unaashiria kuanza kwa hatua ya utekelezaji akisema kinachohitajika sasa ni kila mdau kutimiza wajibu wake.
Rais Samia amezindua pia Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050.
Katika mkutano huo, Rais Samia alizindua nyenzo za utekelezaji wa Dira 2050 na kukabidhi Ufunguo wa Mtazamo Mpya unaoashiria mwanzo wa ushirikiano mpya kati ya Serikali na sekta binafsi.