Launch of 'Linda Ushirika, Chagua Uadilifu' Campaign to Combat Corruption in Cooperatives
Habari mpya za siasa Tanzania · maelezo ya Launch of 'Linda Ushirika, Chagua Uadilifu' Campaign to… · imesasishwa 3 Aug 2026 · habari za siasa · serikali · sera
Muhtasari
- -ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA TARI NA SIKU MAALUM YA USHIRIKAMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
- Pia amesisitiza umuhimu wa kutoa elimu na hamasa zaidi kwa wananchi wote ili kujiunga na vyama vya ushirika na kufikia lengo la Mpango wa Maendeleo wa miaka mitano la kufikisha vyama vya ushirika 20,540,850 ifikapo.
- Makamu wa Rais ametoa wito kwa taasisi za umma na binafsi, wadau wa maendeleo na wadau wote kuipa ushirikiano Tume ya Maendeleo ya Ushirika katika kufanisha utekelezaji wa Kampeni ya "Linda Ushirika, Chagua Uadilifu".
- Makamu wa Rais, amesema Ushirika wenye uadilifu ni muhimu sana katika kujenga imani kwa wanachama na kuvutia uwekezaji zaidi.
- Amesema kuimarika kwa ushirika kunategemea uwajibikaji, uaminifu na uadilifu wa wanachama, viongozi na watendaji wa vyama vya ushirika.