Launch of KKKT Digital Training Platform for Christian Teachings and Entrepreneurship
Habari mpya za elimu Tanzania · maelezo ya Launch of KKKT Digital Training Platform for Christian… · imesasishwa 3 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- DAR ES SALAAM: Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limezindua tovuti ya mafunzo ya kidijitali, KKKT Digital, itakayotoa mafundisho ya Kikristo na ujasiriamali, sambamba na uzinduzi wa kitabu kipya cha.
- Akifafanua zaidi kuhusu tovuti hiyo, alisema *KKKT Digital* itapatikana kwa watumiaji ndani na nje ya Tanzania, ikiwawezesha kusoma mafundisho ya Biblia na kozi za ujasiriamali kwa wakati unaowafaa.
- Akizungumza katika hafla hiyo, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tumaini na Mratibu wa KKKT Digital, Geoffrey Kilimba, alisema jukwaa hilo litapanua upatikanaji wa mafundisho ya Kikristo na ujuzi wa vitendo kwa kuwawezesha.