Mada zilizoorodheshwa
UCHUMI 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Kongamano la Uchumi wa Buluu Kizimkazi kwa Wazawa Zaidi ya 200

Habari mpya za uchumi Tanzania · maelezo ya Kongamano la Uchumi wa Buluu Kizimkazi kwa Wazawa Zaidi… · imesasishwa 12 Aug 2026 · habari za uchumi · pato la taifa · uwekezaji

Muhtasari

  • Kongamano hilo linatarajiwa kuwashirikisha zaidi ya wazawa 200 kutoka pande mbili za Muungano, likiwa sehemu ya shughuli zinazofanyika katika Tamasha la Kizimkazi kwa lengo la kujadili fursa zilizopo katika Uchumi wa.
  • Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kongamano hilo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi, Kapteni Hamad Bakar Hamad, alisema kongamano hilo litatoa fursa kwa wadau wa ndani kukutana na kujadili kwa.
  • Kongamano hili linatarajiwa kuwa jukwaa la kujenga uelewa na kuibua mawazo yatakayosaidia kuongeza ushiriki wa wananchi katika shughuli za Uchumi wa Buluu, huku likisisitiza umuhimu wa kulinda rasilimali hizo dhidi ya.
  • Aliikumbusha jamii, hususan wazawa, kuchangamkia fursa zinazopatikana katika sekta ya Uchumi wa Buluu katika maeneo mbalimbali ya Tanzania kwa kuanzisha na kuendeleza shughuli za kiuchumi zinazoweza kuongeza kipato.
  • Aidha, alisema kongamano hilo linatarajiwa kuanza saa tatu asubuhi na kufunguliwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi, Mboja Ramadhan Mshenga na kufungwa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi wa Serikali.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Kongamano la Uchumi wa Buluu Kizimkazi kwa Wazawa Zaidi…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.