Mada zilizoorodheshwa
ELIMU 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Kipaumbele kwa Shule na Zahanati Katika Kufikishiwa Umeme

Habari mpya za elimu Tanzania · maelezo ya Kipaumbele kwa Shule na Zahanati Katika Kufikishiwa Ume… · imesasishwa 10 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo

Muhtasari

  • Akizungumza leo Jumatatu, Agosti 10, 2026 wakati wa hafla ya kuwasha umeme katika kitongoji hicho, Ndejembi amesema kufikishwa kwa umeme vijijini kunapaswa kwenda sambamba na matumizi yenye tija, ikiwemo kuongeza.
  • Ndejembi amewahimiza wananchi ambao miundombinu ya umeme imewafikia kuchangamkia fursa hiyo kwa kuunganishiwa huduma kwa gharama nafuu ya sh 27,000, na kutumia umeme katika shughuli mbalimbali za uzalishaji na kujiletea.
  • Aidha, ameiagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kufanya tathmini ya maeneo ambayo bado hayajafikiwa na miundombinu ya umeme ili yaingizwe katika mipango ya utekelezaji na kufikishiwa huduma hiyo.
  • Amesisitiza kuwa shule, zahanati na maeneo mengine muhimu ya kutolea huduma za kijamii yanapaswa kupewa kipaumbele katika kufikishiwa umeme ili kuongeza ufanisi na kuboresha huduma zinazotolewa kwa wananchi.
  • Na mwandishi wetu, Gazetini WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amewasha umeme katika Kitongoji cha Mwanubi mkoani Shinyanga na kusema kuwa huduma ya umeme ni hitaji la msingi kwa Watanzania na nyenzo muhimu katika.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Kipaumbele kwa Shule na Zahanati Katika Kufikishiwa Ume…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.