Judiciary Staff Participation in Regular Exercise Program
Habari mpya za afya Tanzania · maelezo ya Judiciary Staff Participation in Regular Exercise Progr… · masasisho 2026 · imesasishwa 13 Aug 2026 · habari za afya · hospitali · afya ya umma
Muhtasari
- Na ABDALLAH SALUM, Mahakama-Njombe Watumishi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Njombe wameanza kufanya mazoezi ya pamoja ikiwa ni programu maalum ya kuimarisha afya ya mwili, kuimarisha mahusiano na kuongeza.
- Aidha, alieleza kuwa Taasisi nyingine kama Ofisi ya Taifa ya Mashtaka (NPS) ya mkoani humo wameonesha nia ya kuungana na Mahakama katika program hiyo.Kwa upande wa watumishi wa Mahakama Njombe wameonesha kufurahia.
- Mahakama Kuu Njombe imeanzisha programu hiyo maalum ya mazoezi inayowahusisha watumishi wote wa Mahakama hiyo.