Mada zilizoorodheshwa
BIASHARA 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Jubilee Group's Commitment to Community Development through CSR Initiatives

Habari mpya za biashara Tanzania · maelezo ya Jubilee Group's Commitment to Community Development thr… · imesasishwa 7 Aug 2026 · habari za biashara · kampuni · uwekezaji

Muhtasari

  • DAR ES SALAAM; MWALIMU Mkuu wa Shule ya Msingi Madenge, Temeke, Dar es Salaam, Khadija Mani ameishukuru Jubilee Group kwa kuwajengea ukuta kuzunguka shule hiyo kwa lengo la kuimarisha usalama na kuondoa changamoto ya.
  • Naye Mkurugenzi wa Jubilee Group Tanzania Dk Harold Adamson alisema wanaamini kuwa ukuta huu utachangia kuimarisha mazingira salama na tulivu ya elimu, hivyo kuwapa walimu nafasi bora ya kufundisha wanafunzi katika.
  • Alisisisitiza kuwa Jubilee Group itaendelea kutekeleza shughuli za uwajibikaji kwa jamii (CSR) kwa lengo la kuchangia maendeleo katika sekta za elimu, afya na ustawi wa jamii, kwa kuamini kuwa jamii yenye maendeleo.
  • Uzinduzi huo umehudhuriwa na MaOfisa Watendaji Wakuu wa Jubilee Life Insurance na Jubilee Health Insurance, Helena Mzena pamoja na viongozi wa serikali za mitaa, uongozi wa shule na wafanyakazi wa Jubilee Group Tanzania.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Jubilee Group's Commitment to Community Development thr…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.