Jordyn Lucas Receives $25,000 and Birkin Bag from Drake
Habari mpya za burudani Tanzania · maelezo ya Jordyn Lucas Receives $25,000 and Birkin Bag from Drake · imesasishwa 10 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Baada ya kukutana na msanii huyo, Jordyn anadaiwa kuondoka na zawadi ya dola 25,000 sawa na Sh milioni 66, pamoja na mkoba wa kifahari aina ya Birkin ambao alipewa na Drake.
- Asante kwa Birkin yangu na dola 25,000, dada yangu.” Kauli hiyo imezua gumzo mitandaoni, huku Jordyn akionekana kuufurahia sana mkutano wake na Drake pamoja na zawadi hizo anazodai kupewa na rapa huyo.
- Mrembo wa Marekani, Jordyn Lucas akionyesha mkoba aliozawadiwa na rapa maarufu Drake.