Jordyn Lucas Expresses Deep Affection for Drake on Instagram
Latest Tanzania entertainment news · Jordyn Lucas Expresses Deep Affection for Drake on Inst… explained · updated Aug 10, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- Baada ya kukutana na msanii huyo, Jordyn anadaiwa kuondoka na zawadi ya dola 25,000 sawa na Sh milioni 66, pamoja na mkoba wa kifahari aina ya Birkin ambao alipewa na Drake.
- Asante kwa Birkin yangu na dola 25,000, dada yangu.” Kauli hiyo imezua gumzo mitandaoni, huku Jordyn akionekana kuufurahia sana mkutano wake na Drake pamoja na zawadi hizo anazodai kupewa na rapa huyo.
- Mrembo wa Marekani, Jordyn Lucas akionyesha mkoba aliozawadiwa na rapa maarufu Drake.
- Jordyn alionekana kufurahishwa na tukio hilo na kueleza hisia zake kupitia ujumbe aliouandika kwenye ukurasa wake wa Instagram, akiambatanisha na video yao baada ya kukutana.