Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla ametoa wito kwa Viongozi, watendaji na wananchi wa Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro kujitokeza kwa wingi kwenye maonesho ya 32 ya Kilimo na mifugo na sherehe za nanenane, Kanda ya Kaskazini, zinazotarajiwa kuanza Agosti Mosi, 2026.