Ofisi ya Mwandishi Mkuu wa Sheria (OCPD) imeendelea kuwekeza katika kuwaendeleza watumishi wake kitaaluma kwa kuwapatia fursa za mafunzo ndani na nje ya nchi, hatua inayolenga kuongeza idadi ya wataalamu wenye weledi, utaalamu wa kisekta na uwezo wa kuandaa sheria bora zinazowezesha utekelezaji wa sera na mipango ya Serikali.