Amesema uwekezaji huo hauishii katika uzalishaji wa sukari pekee, bali pia una uwezo wa kuongeza uzalishaji wa umeme kutokana na matumizi ya mabaki ya miwa, hatua inayoweza kuchangia katika kuimarisha upatikanaji wa nishati na kuongeza mchango wa kampuni katika gridi ya Taifa.
Uwekezaji huo hauishii katika uzalishaji wa sukari pekee, bali pia una uwezo wa kuongeza uzalishaji wa umeme kutokana na matumizi ya mabaki ya miwa, hatua inayoweza kuchangia katika kuimarisha upatikanaji wa nishati na kuongeza mchango wa kampuni katika gridi ya Taifa.