Mada zilizoorodheshwa
MICHEZO 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Initiative to Create Kamachumu FC Leadership and Constitution for Local Youth

Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Initiative to Create Kamachumu FC Leadership and Consti… · imesasishwa 9 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo

Muhtasari

  • KAGERA: Timu ya Kamachumu Stars imeibuka bingwa wa mashindano ya Paul Mwijage Cup baada ya kuifunga Kanoni FC kwa bao 1-0 katika mchezo wa fainali na kujinyakulia kitita cha Sh milioni 3.
  • Mashindano hayo yaliyoshirikisha timu 20 kutoka Tarafa ya Kamachumu, Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera, yamekuwa kivutio kwa mamia ya wananchi huku yakitoa fursa kwa vijana kuonyesha vipaji vyao katika soka.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Initiative to Create Kamachumu FC Leadership and Consti…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.