Improvement of Clean Water Access for 34,000 Residents in Ilemela
Habari mpya za water sanitation Tanzania · maelezo ya Improvement of Clean Water Access for 34,000 Residents… · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2026, Wazo Mwang’onda, akikata utepe kuzindua mradi wa ujenzi wa mtambo wa kuchuja maji wa Igombe-Kabangaja, wilayani Ilemela, leo.
- NA BALTAZAR MASHAKA, ILEMELA MWENGE Uhuru umezindua Mradi wa ujenzi wa mtambo wa kuchuja maji katika chanzo cha Igombe-Kabangaja, Wilaya ya Ilemela, uliogharimu sh. milioni 585.