Amesema amesisitiza umuhimu wa kuimarisha vyama vya ushirika vya wakulima, akieleza kuwa vina nafasi muhimu katika kuwaunganisha wakulima na masoko, kuongeza nguvu yao ya pamoja katika majadiliano ya bei na kuwawezesha kupata faida zaidi kutokana na mazao yao.
The Regional Commissioner also stressed the importance of strengthening farmers’ cooperatives, saying they play a vital role in connecting farmers with markets, increasing their collective bargaining power in price negotiations and enabling them to earn better returns from their produce.