TANZANIA imesema utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 utaongeza kasi ya kufikiwa kwa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) kwa kuyajumuisha kikamilifu katika mipango ya maendeleo ya muda mfupi, wa kati na wa muda mrefu.
Tanzania imesema utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 utaongeza kasi ya kufikiwa kwa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) kwa kuyajumuisha kikamilifu katika mipango ya muda mfupi, wa kati na wa muda mrefu wa maendeleo ya nchi.