Amesema hali hiyo imewafanya baadhi ya watu kushindwa kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii na kiuchumi, huku wengine wakikosa ujasiri wa kuwania nafasi mbalimbali kwa hofu ya kuhukumiwa kutokana na mwonekano wa ngozi yao.
Amehitimisha kwa kusema kuwa watu wengi wenye vitiligo hukosa fursa mbalimbali, ikiwemo ajira, kutokana na unyanyapaa unaoendelea.