Hussein Mbegu's Planned Trials in Europe
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Hussein Mbegu's Planned Trials in Europe · imesasishwa 9 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- Kwa sasa, Mbegu yupo kwenye kambi ya Timu ya Taifa ya Tanzania ya Vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys / U-17), inayojiandaa na fainali za Kombe la Dunia za Vijana zinazotarajiwa kutimua vumbi Novemba mwaka huu.
- Hatma ya Kinda Hussein Mbegu Kwenda Ulaya Mbali na suala la Kante, Magori pia amezungumzia mipango ya kinda Hussein Mbegu, ambaye amekuwa akihusishwa na safari ya kuelekea barani Ulaya kwa ajili ya kufanya majaribio.