Humanitarian Crisis for Over Two Million Palestinians in Gaza
Habari mpya za afya Tanzania · maelezo ya Humanitarian Crisis for Over Two Million Palestinians i… · imesasishwa 3 Aug 2026 · habari za afya · hospitali · afya ya umma
Muhtasari
- Oktoba, 2025, Israel na Hamas wanaojitanabaisha kulinda masilahi ya Palestina katika Ukanda wa Gaza walikubaliana kusitisha mapigano ili kuruhusu mazungumzo na huduma za kibinadamu kuwafikia wananchi wa Gaza.
- Tangu hapo, Israel imeripotiwa kuua Wapalestina zaidi ya 1,200, pia ikijiongezea maeneo ya kutawala katika Ukanda wa Gaza.
- Hivyo, kwa wakazi wa Gaza walio wengi, si Israel wala Hamas inayopaswa kuaminika kwa asilimia 100 kwani pande zote mbili hazioneshi utayari wa kurejesha amani katika eneo hilo.