Mada zilizoorodheshwa
AFYA 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Hospitali ya SINO inatoa huduma za matibabu ya kibingwa nchini Tanzania

Habari mpya za afya Tanzania · maelezo ya Hospitali ya SINO inatoa huduma za matibabu ya kibingwa… · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari za afya · hospitali · afya ya umma

Muhtasari

  • Na Mwandishi WetuWATANZANIA wameanza kunufaika na huduma za matibabu ya kibingwa zinazopatikana nchini, hali inayopunguza gharama na ulazima wa kusafiri nje ya nchi kutafuta matibabu.Mkurugenzi Mtendaji wa Universal.
  • Sharif Mollel, amesema huduma hizo zinapatikana katika Hospitali ya SINO iliyopo Mikocheni, Dar es Salaam.Amesema kampuni yake inashirikiana na hospitali hiyo kurahisisha upatikanaji wa huduma za kibingwa, teknolojia za.
  • Amesema uwepo wa huduma hizo nchini unawapa Watanzania nafasi ya kupata matibabu bila kuingia gharama za tiketi za ndege, malazi, visa na matumizi mengine yanayotokana na safari za matibabu nje ya nchi.“Lengo letu ni.
  • Siyo Watanzania kwenda nje kutibiwa pekee, bali pia wagonjwa kutoka nchi nyingine kuja Tanzania kupata huduma,” amesema.Amesema Hospitali ya SINO inatoa huduma mbalimbali za uchunguzi na matibabu kwa kutumia teknolojia.
  • Ametoa wito kwa Watanzania, hususan wakazi wa Dar es Salaam, kutumia nafasi ya kuwepo kwa huduma hizo nchini kabla ya kufanya uamuzi wa kusafiri nje ya nchi kutafuta matibabu.Dkt.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Hospitali ya SINO inatoa huduma za matibabu ya kibingwa…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.