Mradi huu ambao umegharimu zaidi ya Shilingi milioni 30, umewezesha upatikanaji wa vifaa mbalimbali vya kisasa, ikiwemo kompyuta za mezani 25, kifaa cha kuonyesha picha (projector), televisheni ya kidijitali (Smart TV), ubao mweupe (whiteboard) pamoja na vifaa vya matengenezo ya TEHAMA (maintenance kit).
Mradi huo umegharimu zaidi ya Sh30 milioni na umewezesha shule hiyo kupata kompyuta za mezani 25, projekta, televisheni janja (Smart TV), ubao mweupe pamoja na vifaa vya matengenezo ya Tehama.