Mkurugenzi wa Mafunzo, Tafiti, Takwimu na Uhamasishaji wa OSHA, Joshua Matiko, akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizoibuliwa na washiriki katika mafunzo ya usalama na afya mahali pa kazi kwa Wakaguzi wa Tume ya Utumishi wa Umma yaliyoandaliwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA).