Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuboresha mazingira ya kazi kwa watumishi wa umma kupitia maboresho ya mishahara, upandishaji wa madaraja, ajira mpya na kuimarisha mifumo ya usimamizi wa rasilimali watu.