Amesema mageuzi makubwa yaliyofanyika katika sekta ya elimu Zanzibar na Tanzania kwa ujumla yamekuwa na matokeo mengi chanya, ikiwemo kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi wanaoandikishwa katika ngazi mbalimbali za elimu, kuimarika kwa miundombinu ya ufundishaji na ujifunzaji, ambako kumesababisha kuongezeka kwa ufaulu wa wanafunzi katika mitihani ya kitaifa.
Makamu wa Rais amesema mageuzi makubwa yaliyofanyika katika sekta ya elimu Zanzibar na Tanzania kwa ujumla yamekuwa na matokeo mengi chanya, ikiwemo kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi wanaoandikishwa katika ngazi mbalimbali za elimu.
.jpg)