Waziri Mkuu amewataka wakulima, wafugaji na wavuvi nchini kuendelea kuzalisha kwa kuzingatia mahitaji ya soko, huku wakitumia teknolojia za kisasa na mbinu bunifu ili kuongeza ushindani wa bidhaa za Tanzania katika masoko ya ndani na nje ya nchi.
Sekta binafsi pia niwaeleza kuwa mpo sehemu sahihi na serikali tunatambua mchango wenu katika uchumi na kutengeneza ajira.