Mada zilizoorodheshwa
LAND 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Government Intervention in 15-Year Land Dispute in Monduli and Simanjiro

Habari mpya za land Tanzania · maelezo ya Government Intervention in 15-Year Land Dispute in Mond… · imesasishwa 8 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo

Muhtasari

  • Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa katika kikao hicho, wananchi wa Monduli wanadai eneo la hekta 870.3, huku wale wa Simanjiro wakidai hekta 1,778.3, kati ya jumla ya hekta 3,425 zinazohusishwa na umiliki wa mwekezaji.
  • ARUSHA: Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Kaspar Mmuya, amewataka wananchi wa Monduli na Simanjiro kufafanua kwa kina namna na wakati mwekezaji wa Maasai Stepple Conservancy Ltd alivyopatiwa Shamba.
  • Mmuya alitoa kauli hiyo jana katika Ofisi ya Kijiji cha Oldonyo, Kata ya Lemoot, Wilaya ya Monduli, alipokutana na wananchi wa kijiji hicho pamoja na wakazi wa Kijiji cha Lobusoit A, Wilaya ya Simanjiro, ambao kwa.
  • Mbunge wa Monduli, Isack Joseph amema wananchi wa Monduli na Simanjiro wanahitaji ardhi yao na kwamba suluhisho la mgogoro huo linapaswa kurejesha matumaini na amani kwa pande zote.
  • Monduli tunahitaji ardhi, na Simanjiro wanahitaji ardhi; sote tunahitaji ardhi irudi mikononi mwetu,” Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Kijiji cha Oldonyo, Saitoti Mwatuni, amemuomba Naibu Waziri kuupa mgogoro huo.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Government Intervention in 15-Year Land Dispute in Mond…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.