Mada zilizoorodheshwa
ELIMU 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Global Education Link Itafungua Fursa za Ajira Kuanzia Mwaka Ujao

Habari mpya za elimu Tanzania · maelezo ya Global Education Link Itafungua Fursa za Ajira Kuanzia… · imesasishwa 9 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo

Muhtasari

  • Jiulize unasoma kwaajili ya GPA nzuri tu au unakwenda kuhamisha maarifa ya kuchukua telnolojia na fursa za viwanda zinazopatikana kule kuleta hapa Tznania,” alisema Mollel Alisema kila mwaka wanafunzi zaidi ya 800.
  • DAR ES SALAAM: Mamia ya wanafunzi wanatarajia kwenda masomoni kwenye vyuo vikuu mbalimbali nchini India kuanzia wiki ijayo kupitia Wakala wa Elimu Nje ya Nchi Global Education Link (GEL).
  • Alisema kuanzia mwakani Global Education Link itafungua fursa za ajira kwasababu kuna kampuni kubwa nchini ambazo zimekuwa iwape wataalamu wa aina mbalimbali inaowafahamu.
  • Katumieni muda wenu nje ya kile kilichowapeleka kwa maana ya kujiongeza, tatizo la ajira ni shida ya dunia nzima siyo Tanzania ni wewe tu unavyoona fursa unazoona hata kwa wanafunzi utakaosoma nao huko nje,” alisema.
  • Kule India hawasomi ili wapate GPA wanasoma ili watengeneze fursa wewe unasoma ukimaliza unaanza kulalamika hakuna ajira, hatutaki hilo.Tunatamani mpate zaidi ya GPA mrudi na fursa zinazopatikana huko,” alisema Mollel “.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Global Education Link Itafungua Fursa za Ajira Kuanzia…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.