Focus on Winning and High Preparation for Derby by Simba SC
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Focus on Winning and High Preparation for Derby by Simb… · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- Barker amebainisha kuwa maandalizi yote kuelekea Derby hiyo ya Kariakoo yamekamilika na lengo lao kuu ni kuanza msimu mpya wa 2026/27 kwa kutwaa ndoo hiyo muhimu.
- ZANZIBAR: Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, ametuma ujumbe mzito kwa watani wao wa jadi Yanga SC, akisema kikosi chake kipo tayari kwa asilimia 100 kutwaa taji la Ngao ya Jamii katika mchezo utakaopigwa kesho.
- Presha ya Derby Hawezi Kututisha” Akihitimisha, Barker alikumbusha utamaduni wa Simba wa kushinda mataji makubwa na kueleza kuwa presha ya Derby ya Kariakoo ndiyo inayowapa hamasa zaidi ya kupambana badala ya.