Mada zilizoorodheshwa
MICHEZO 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Fei Toto Remains Under Contract with Azam FC Amidst Transfer Speculation

Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Fei Toto Remains Under Contract with Azam FC Amidst Tra… · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo

Muhtasari

  • Rais wa Azam FC, Nassor Idrissa ‘Father’, hatimaye amevunja ukimya na kuweka mambo hadharani kuhusu tetesi zinazomhusisha kiungo wao machachari, Feisal Salum ‘Fei Toto’, na miamba ya soka nchini, Simba SC na Yanga SC.
  • Fei Toto amekuwa gumzo kubwa katika dirisha hili la usajili, huku taarifa zikisema klabu hizo kongwe za Tanzania zinachuana vikali kuwania saini yake, kila mmoja akiwa tayari kutoa dau nono ili kumng’oa Azam FC.
  • Father amethibitisha kuwa Fei Toto bado ni mchezaji halali wa Azam FC na ana mkataba unaomfunga kuendelea kuichezea klabu hiyo kwa misimu ijayo.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Fei Toto Remains Under Contract with Azam FC Amidst Tra…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.