Farmtech Solutions Offers Affordable Agricultural Equipment from China
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Farmtech Solutions Offers Affordable Agricultural Equip… · imesasishwa 8 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Mkurugenzi wa Kampuni ya Farmtech Solutions inayojihusisha na uuzaji wa matrekta ya Zoomlion, mashine na vifaa bora vya kilimo,Injinia Assey Deogratius akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya nanenane.
- Amesema kuwa,Farmtech Solutions haitoi matrekta pekee, bali inashughulikia mnyororo mzima wa shughuli za kilimo kuanzia uandaaji wa mashamba, kulima, kupanda, kupalilia, kuvuna hadi uchakataji wa mazao, hatua ambazo.