Fans' Advice for Kiredio Regarding Vee Dollarz
Habari mpya za burudani Tanzania · maelezo ya Fans' Advice for Kiredio Regarding Vee Dollarz · imesasishwa 12 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Mtangazaji na muandaaji wa maudhui, Vicent Njau maarufu kama Kiredio akiwa na mpenzi wake Vee Dollarz.
- Wameendelea kusema kuwa Vee Dollarz ni msichana anayependa maisha ya gharama kubwa, huku wakidai kuwa kipato cha Kiredio bado ni kidogo kumtunza mrembo huyo.
- Mashabiki hao wamemaliza kwa kutoa ushauri kwa Kiredio, wakisema iwapo yeye na Vee Dollarz watarudiana, Vee anatakiwa kuondoka kwenye mitandao ili kuepusha macho na usumbufu wa watu kwenye uhusiano wao.