Fainali ya CECAFA Kagame Cup 2026 kati ya Gor Mahia na Rayon Sports
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Fainali ya CECAFA Kagame Cup 2026 kati ya Gor Mahia na… · masasisho 2026 · imesasishwa 7 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- Kabla ya kutamba na klabu za APR, Yanga SC, Simba SC na kuwa nahodha wa muda mrefu wa Amavubi (akicheza mechi 112 za kimataifa), safari yake ilianzia Rayon Sports kati ya mwaka 2006 na 2007.
- Msemo huu unajidhihirisha wazi kwa mastaa wawili wa zamani wa Timu ya Taifa ya Rwanda (Amavubi), Meddie Kagere na Haruna Niyonzima, saa chache kabla ya pambano la kukata na shoka la Fainali ya CECAFA Kagame Cup 2026.
- Akiwa na Gor Mahia kati ya mwaka 2015 na 2018, Kagere alipachika mabao 50 katika mashindano yote—takwimu zinazomweka kwenye orodha ya wafungaji 10 bora wa muda wote wa klabu hiyo.
- Njia za Timu Hizi Kuelekea Fainali Njia ya kuelekea fainali haikuwa rahisi kwa timu zote mbili: Gor Mahia (Kundi A): Njia yao ilianza kwa ushindi mnono wa 5-0 dhidi ya APR, kabla ya kuchapwa 1-0 na Vipers.
- Mbali na mabao, aliisaidia Gor Mahia kutwaa mataji matatu mfululizo ya Ligi Kuu (2015, 2017, 2018), huku pia akitwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka (SJAK MVP) mwaka 2017.