Establishment of Special Fund for Bodaboda in Chunya
Habari mpya za transport Tanzania · maelezo ya Establishment of Special Fund for Bodaboda in Chunya · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- Mwaitambo amesema hayo wakati wa uzinduzi wa Mfuko Maalumu wa Bodaboda wilaya ya Chunya,akieleza kuwa kila mwanachama atachangia Sh 20000 kwa mwezi.
- MBEYA; Waendesha bodaboda wilaya ya chunya ,mkoani mbeya wameanza kuchukua hatua za kujenga mfumo wa pamoja wa kiuchumi,kwa kuanzisha Mfuko Maalumu wa Bodadoda kwa ajili ya kusaidiana na kuanzisha miradi ya maendeleo.
- Mwenyekiti wa Bodaboda Wilaya ya Chunya, Chance Mwaitambo amesema hatua hiyo inalenga kuwajengea uwezo wa kifedha kundi hilo na kupunguza utegemezi wanapokumba na changamoto,huku wakipanga kuanzisha Chama cha Kuweka na.
- Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Kelvin Nshishi amewataka waendesha bodaboda hao kuhakikisha mfuko huo hauwi chanzo cha migogoro huku akionya mwendokasi kuwa ni miongoni wa sababu zilizochangia ajali.