Establishment of Innovation Centers in Key Sectors by 2050
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Establishment of Innovation Centers in Key Sectors by 2… · imesasishwa 12 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- MATARAJIO Kufikia waka 2050, Tanzania inatarajiwa kuwa na ongezeko la matumizi ya teknolojia za kisasa katika ngazi zote za uzalishaji na utoaji wa huduma ili kuongeza ufanisi na kuchochea mabadiliko.