Enhancement of Surgical Services in Tanzania through Successful Conjoined Twin Separation
Habari mpya za afya Tanzania · maelezo ya Enhancement of Surgical Services in Tanzania through Su… · imesasishwa 10 Aug 2026 · habari za afya · hospitali · afya ya umma
Muhtasari
- MADAKTARI bingwa wazawa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamefanikiwa kufanya upasuaji wa kutenganisha mapacha walioungana aina ya parasitic conjoined twins, mmoja wao akiwa hajakua kikamilifu na akimtegemea.