Sekiboko amesema badala ya vijana kuhitimu na kuendelea kusubiri ajira, wanapaswa kutumia ujuzi wanaoupata katika vyuo vya ufundi kuanzisha shughuli za uzalishaji.
Mwl. Rweyemamu amewataka vijana hao kuyazingatia mafunzo wanayopewa ili waweze kuhitimu wakiwa na maarifa na ujuzi wenye manufaa katika maisha yao.