Katibu katibu wa UWT Cesilia Ndaru amewahimiza wanawake kuhakikisha kwamba wanatumia fursa mbali mbali za ujasiriamali na kuachana kabisa na tabia ya kuwa na majungu na kuzungumza maneno ambayo hayana faida yoyote na badala yake wajiunge katika vikundi vya ujasiriamali.