Encouragement for Stakeholders to Gain Knowledge at Nane Nane Exhibitions
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Encouragement for Stakeholders to Gain Knowledge at Nan… · imesasishwa 7 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Kauli mbiu ya mwaka huu ya maonyesho hayo ya kilimo nane nane ni ‘Tambua soko, ongeza tija kutekeleza Dira 2050.
- Na Mwandishi wetu, Arusha MKUU wa wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Fakii Lulandala amewasihi wakulima, wafugaji na wavuvi kushiriki maonyesho ya kilimo nane nane ili kuongeza ujuzi na kufanya shughuli zao kwa tija.
- Japokuwa tupo mwishoni mwa maonyesho hayo ya nane nane nawasihi wadau wa kilimo, mifugo na uvuvi kushiriki ili kupata elimu kwa wataalamu juu ya namna ya kuboresha shughuli zao,” amesema DC Lulandala.
- Mmoja kati ya wajumbe wa sekretarieti wa maonyesho hayo, Samwel Dahaye amemweleza mkuu huyo wa wilaya kuwa watu wengi wamehamasika kushiriki nane nane.