Meneja wa EWURA Kanda ya Ziwa Nyirabu Musira akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya Nane nane Jijini Mwanza Na Hellen Mtereko,Mwanza Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imewahamasisha wawekezaji kujenga vitio vya mafuta vijijini.
Zuberi amewahimiza Watanzania kuchangamkia fursa za uwekezaji katika sekta ya mafuta kwa kuanzisha kampuni na shughuli nyingine zinazohusiana na biashara hiyo, huku wakizingatia masharti ya kisheria na kitaalamu.