Amesema kaulimbiu hiyo inaendana na malengo ya Serikali ya kutekeleza Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, huku akiwataka wakulima kuzingatia masoko ya ndani na nje ya nchi ili kilimo kisiwe mzigo bali chanzo cha kipato na maendeleo.
NCHINI mamlaka ya kiserikali iko katika mageuzi ya kuboresha mfumo wake wa masoko kuendana na mahitaji ya kisasa.