Akijenga hoja yake hiyo amesema lengo ni kujenga Taifa lenye mshikamano na kuwapa vijana nafasi ya kushiriki kikamilifu katika maendeleo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka, amesema Serikali itaendelea kuwaunga mkono vijana wenye miradi yenye tija ili kuwajengea uwezo wa kujitegemea na kuchangia maendeleo ya taifa.
Vijana wa Tanzania wametajwa kuwa kundi litakalobeba mafanikio makubwa ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, huku wakihimizwa kuanza kujijengea uwezo na kutumia fursa zinazotengenezwa kupitia mipango ya maendeleo ya Serikali.