Mada zilizoorodheshwa
BIASHARA 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Elimu ya Vipimo na Ushindani wa Bidhaa kwa Wajasiriamali wa Pemba

Habari mpya za biashara Tanzania · maelezo ya Elimu ya Vipimo na Ushindani wa Bidhaa kwa Wajasiriamal… · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari za biashara · kampuni · uwekezaji

Muhtasari

  • Katika ziara hiyo iliyofanyika leo Agosti 6, 2026, wajasiriamali hao wameshukuru kupata elimu kuhusu matumizi sahihi ya vipimo, ufungashaji bora wa bidhaa na mbinu za kuongeza ushindani wa bidhaa zao sokoni.
  • Wajasiriamali wa kikundi cha Hapa Kazi kutoka Shehia ya Mtemani Wingwi, Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba wametembelea banda la Wakala wa Vipimo (WMA) katika Maonesho ya 33 ya Wakulima Nane Nane yanayofanyika.
  • Tumejifunza jinsi ya kutumia mizani, kuweka lebo sahihi na umuhimu wa vipimo katika biashara yetu, elimu ambayo pia tumekuwa tukiipata kupitia Wakala yetu ya Vipimo Zanzibar,” alisema.
  • Aidha, amesema ushiriki wao katika maonesho hayo umewaongezea ujuzi na uelewa zaidi kuhusu matumizi sahihi ya vipimo, mfumo wa alama za mistari (barcodes) na mbinu bora za kufungasha bidhaa.
  • Tukirudi kwetu, tutaendelea kuwaelimisha pia wajasiriamali wengine ili tuweze kuzalisha bidhaa zenye ubora na zinazokidhi viwango vya soko,” alisema Asha.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Elimu ya Vipimo na Ushindani wa Bidhaa kwa Wajasiriamal…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.