Elimu Kuhusu Matumizi Sahihi ya Vipimo Katika Biashara
Habari mpya za biashara Tanzania · maelezo ya Elimu Kuhusu Matumizi Sahihi ya Vipimo Katika Biashara · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari za biashara · kampuni · uwekezaji
Muhtasari
- Wakulima, wafugaji, wavuvi na wajasiriamali wameendelea kunufaika na Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Magharibi baada ya kushiriki kongamano maalum lililofanyika leo, Agosti 6, 2026 katika Viwanja vya Maonesho vya Fatma.
- Naye Kaimu Meneja wa Kampasi ya FETA Kigoma, August Damian Shirima, amewasilisha mada kuhusu ufugaji wa samaki, uzalishaji wa funza kwa ajili ya chakula cha mifugo pamoja na fursa za mafunzo zinazopatikana katika.
- Kassim Majiji kutoka Wakala wa Vipimo ametoa elimu kuhusu matumizi sahihi ya vipimo katika biashara, huku Gabriel Ngogo kutoka TARI Tumbi akieleza kuhusu mbinu za kilimo kinachostahimili mabadiliko ya tabianchi ili.
- Aidha, Andishile Mwakalobo kutoka TMX amewajengea washiriki uelewa kuhusu masoko ya kidijitali na matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi Ghalani katika kuwawezesha wazalishaji kupata fursa bora za masoko.Katika kuongeza uwezo.